
Lakini kwa sasa kumbe yupo mjini Iringa akiendelea na kazi hiyo hiyo ya Utangazaji
Habari zinasema anatangaza Radio inayoitwa Ebon Fm , hii Radio inatingisha sana mjini Iringa na mikoa ya jirani
Sisi wana Tupo wote tunakutakia kila la heli na Mungu akubariki kwa kila ukifanyacho kaka.
Kwa Kireno tunasema Estamus juntu ( yaani tupo pamoja)
No comments:
Post a Comment