Huu ni uwanja wa timu ya Chelsea upo magharibi mwa jiji la LONDON ni kama nyumbani vile sisi mwenyewe wenyeji hapa tunapaita darajani wakati ule bwana raha tu Wakati wa kaka Jose Mourinho kufungwa hapa ilikuwa ni ndoto lakini siku hizi hali ni tofauti kabisa .... inauma sana lakini tufanye nini inabidi tukubali matokeo MUNGU yupo na ipo siku na sisi tutatesa tena
No comments:
Post a Comment