Tuesday, 20 January 2009

Na mimi nipo

Na mimi nipo bwana nikiamua ninafanya kweli, hapo nipo kikazi huko Zanzibar mwaka uliopita 2008 sehemu moja hivi .... hapo panaitwa pwani ya Matwemwe .... unakujua lakini ..? njoo kwangu nikueleze jinsi kulivyo

No comments: